Amboni Tanga: Askari Polisi wapambana na Majambazi wenye silaha za moto; JWTZ walazimika kusaidia

Picha Aihusiani na Tukio 
Kuna taarifa nimezipata muda sio mrefu zinasema polisi wanarushiana risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni magaidi….

Inasemekana walienda kumkomboa mwenzao aliyekamatwa na polisi. Polisi watatu wamejeruhiwa na wameomba msaada toka JWTZ…
Mwenye taarifa zaidi atujuze…

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini