MAMA MZAZI NA MWANAYE WAPEWA MIMBA NA MWANAUME MMOJA mother460

mother460
Kitu cha kwanza mama huyu anasema haoni sababu kumchukia mtoto wake kwa kitu ambacho kimetokea zaidi ya miaka miwili iliyopita; “There is no need to hate my daughter for something that happened more than two years ago..“– Mildred Mashego.
Hii imetokea Mpumalanga, South Africa… Mildred na mtoto wake wa kike, Patricia Mashego walijifungua mwezi August 2012, lakini ikawa story kwenye Headlines baada ya kujua kwamba mwanaume aliyewapa ujauzito ni mmoja!!
Vincente Malumane ni mwanaume ambaye aliwapa ujauzito wanawake hao, alikubali kwamba ni kweli anahusika na ujauzito huo lakini hakujua kwamba Mildred na Patriciani mtu na mtoto wake.
Mildred alichukizwa baada ua kuujua ukweli, japo anasema anamchukia Vicente ila hana kinyongo chochote na mtoto wake.. Wanawalea watoto wao pamoja, hofu waliyonayo kwa sasa ni jinsi ambavyo watawaelezea watoto wao watakapokua wakubwa.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini