MAUAJI YA KUTISHA MWIKA KILIMANJARO, WATUHUMIWA WA WIZI WACHOMWA MOTO HADI KUFA, PICHA 7 ZIKO HAPA

 Polisi wakichukua mabaki ya miili ya marehemu hao baada ya kuchomwa moto.
 Wakiteketea kwa moto
 Watuhumiwa hao wakiwa hoi kwa kipigo kabla ya kuchomwa moto hadi kufa.
 Wakiendelea kupokea kichapo kutoka kwa wananchi.
Wananchi walioamua kujichukulia sheria mkononi, wamewaua watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni wezi kwa kuwachoma moto mpaka kufa huko Mwika wilaya ya Moshi vijijini Mkoani Kilimanjaro

Tukio hilo limetokea jana majira ya saa 6 mchana ambapo pia wameichoma moto pikipiki waliyokuwa wakiitumia watuhumiwa hao (ambao wamechomwa moto hadi kufa)

Kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka eneo la tukio bado hakuna mtu anayeshikiliwa kwa kuhusika na mauaji hayo

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini