Hii ndio list ya magoli 10 bora yaliofungwa kwa mwaka 2015, Cheki video hapa …



Mtu wangu wa nguvu hongera na kheri ya mwaka mpya, licha ya kuanza kwa mwaka 2016 ila mwaka 2015 ulikuwa na mambo mengi ya kukumbukwa katika kila kitu. ila mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee TOP 10 ya magoli 10 bora yaliofungwa kwa mwaka 2015. Stori kutoka 101greatgoals.com hii ndio list ya magoli yenye mvuto na ufundi.

1- Alessandro Florenzi wa AS Roma alifunga goli hili katika mechi dhidi yaFC Barcelona.




2- Lionel Messi alifuga goli hili katika mchezo dhidi ya Athletic Bilbao. Hili ni moja kati ya magoli matatu bora ya FIFA kwa mwaka 2015.





3- Carli Lloyd (United States) v Japan





4- Bernard Bulbwa (Nigeria U20) v Senegal





5- Michél Harrer (VfR Neumünster) v Havelse



6- Marcel Ndjeng (SC Paderborn) v Bolton



7- Philippe Mexes (AC Milan) v Inter Milan





8- Japanese high school team






9- Cuco Martina (Southampton) v Arsenal




10- Miguelete Ramírez (Barcelona U15) v La Floresta. Hili limeingia kutokana na umahiri wa timu hiyo ya vijana ya FC Barcelona kufunga goli hilo kwa kupiga pasi nyingi bila kuguswa na timu pinzani.




ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini