Kiongozi wa ibada alivyowashiwa moto baada ya kukatisha na hoverboard kwenye ibada.. (+Video)



Hoverboard ni jina la kiingereza lakini sina uhakika kama kuna jina rasmi la kiswahili limepatikana kuviita hivi vifaa… ni kama fashion sasahivi utaona mastaa kibao wanapost video wanatembea navyo !! Lakini kama haujaviweza tafadhali mtu wangu, hata usithubutu kuvijaribu..

Ripoti ya stori kwenye mtandao wa BBC inasema waumini kadhaa wamemshutumuParoko mmoja wa Ufilipino ambae ameonekana akiwa anahubiri kanisani huku akikatisha juu ya hoverboard.

Hii hapa video ya Paroko huyo akikatisha na hoverboard wakati wa ibada ya Christmas Ufilipino ambapo hata uongozi wa kanisa hilo hawakupendezwa na kitendo hicho pia wanachokiona kama kuikosea heshima nyumba ya ibada.



ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini