Sentensi za Wema Sepetu kwa mashabiki baada ya kuimba wimbo wa Diamond Platnumz…..#Instagram





Dec 27 mashabiki wa Diamond Platnumz walipost video ya msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu katika mtandao wa instagam ambayo ikionesha akiimba wimbo wa Diamond uitwao ‘Utanipenda’.

Baada ya kusambaa kwa video hiyo yenye dakika 15 Wema akuchukua muda kuwajibu mashabiki hao na kuandika’Mwenzangu niache na kisauti changu ila swali la kizushi kwa hao wanaojiita NAT Team Wema mnanipa tabu sana kwahiyo nikiimba nyimbo ya Diamond kaninyoosha nikimpost nimemmiss au mara kanimwaga?, oooh mara hanitaki..mara nimefulia kiukweli maisha mnayonifanya niishi maisha magumu sana Diamond and I are over..We have over karibu mwaka na sasa kila mtu ka move on na sinaga tabia za kiswahili mtoto wa watu basi hata nyimbo nisisikilize‘>Wema Sepetu

‘Nitasikiliza nyimbo na nitaimba kawada ninapenda nyimbo zake naomba mniache na mumuache yeye msituweke kwenye spot light kwani wangapi wameshakuwa kwenye relationship wameachana na maisha yanaendelea’>.Wema Sepetu

ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini