Picha,Shilole kafuta tattoo ya Nuh Mziwanda kwenye kifua na kuweka hichi.

Shilole-na-Nuh-Mziwanda-600x400


Msanii wa muziki wa bongo fleva Shilole ambaye alikuwa kwenye mahusiano na Nuh Mziwanda amefuta tattoo ya jina la mpenzi wake Nuh Mziwanda iliyokuwa imechorwa kwenye kifua chake.

Hii imekuwa ishara kamili kuwa wasanii hawa kwa sasa hawako pamoja kama ilivyokuwa awali.
shilole-2 shishiiiii SHISHI-tattoo-mpya SHISHI-tattoo-zamani
ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini