Mercy awafanyia sapraiz watoto wake




Mercy amsapraiz mtoto wake

AKIWA ametimiza mwaka mmoja tu tangu azaliwe, mkongwe kunako filamu Naija, Mercy Johnson-Okojie juzi kati aliamua kuwasapraiz watoto wake wote wawili, (Odi) pamoja na Purity kwa siku zao za kuzaliwa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mercy alishea picha za watoto wake hao ambapo Purity ana miaka 3 na Odi mmoja kisha akaandika;

“Kwa yote najisikia vizuri sana ndani ya kiwacchwa changu, kutoka kwa D (Odi), mtoto wangu PT (Purity), lakini nampa pongezi sana D, nashindwa kuacha kutabasamu. Nawajali na kuwapenda watoto wangu wote kama nijipendavyo, Mungu, tafadhali waangalie watoto wangu. Heri ya kuzaliwa Purity,” aliandika.




ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini