makontena mengine 11,884 bandarini leo hii hapa

Habari‬ za hivi punde:Makonta 11,884 yamebainika kutolewa bandarini bila malipo na kusababisha hasara ya bilion 47.4.


Pamoja na magari 2019 yalitolewa bila kulipiwa ambapo makontena hayo ni tofauti na yale ya Waziri Mkuu majaliwa. 


Kufuatia hali hiyo Watumishi 7 wa bandarini wanashikiliwa na jeshi la polis na wengine 8 wametoroka na wanaendelea kutafutwa na jeshi la polisi


Chanzo: Startv

ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini