Wachimbaji Kadhaa Wafunikwa Na Kifusi Chunya, Mkoani Mbeya



Wachimbaji kadhaa wamefukiwa na kifusi katika kijiji cha Sangambi wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, Juhudi za kuokoa uhai wao zinaendelea, taarifa tutakujuza zaidi tukuzipata.

Tinga tinga likiendelea na juhudi za uokoaji.

ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini