AJALI TENA MBEYA ...........TAZAMA PICHA HAPA
Magari matatu yamepata ajali mkoani Mbeya asubuhi ya leo iliyohusisha mabasi ya Hood ya Mbeya na Arusha na basi la Best linalofanya safari zake Mbeya na Mwanza pamoja na lori eneo la Inyala Mbeya
Katika ajali hiyo mtu mmoja amejeruhiwa vibaya na wengine kupata majeraha madogo madogo.
Kamanda wa polis Mkoani mbeya ACP AHMED MSANGI amedhibitisha kutokea kwa ajali hiyo.