Picha:Reginald Mengi amefunga ndoa na Jacqueline Ntuyabaliwe



Hizi  ni  Picha  kutoka kwenye harusi  Reginald  Mengi ambayo imefungwa kwenye ardhi ya nchi ya Mauritius  mwisho wa mwezi March 2015. 
 
Hii ndoa pia ilishuhudiwa na watoto wao wawili mapacha kama wanavyoonekana kwenye picha pamoja na marafiki wengine wa familia pamoja na ndugu ambao idadi yao inafikia 50.
 
Ndoa imefungwa miezi minne baada ya Reginald Mengi kumchumbia Jacky Dubai kwenye siku ya kuzaliwa ya mrembo huyu December 2014.
 
 
 
 
 
 

Picha  kwa  hisani  ya  Bongo5

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini