Posts

Watch & Download (Official Video) Danagog ft. Davido – Hookah

Image
WATCH VIDEO                                                    DOWLOAD VIDEO  ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!! LIKE PAGE  YETU KWA  HABARI  ZAIDII

Mtangazaji wa BBC Radio 1 Xtra ya Uingereza amtaja msanii wa Tanzania wa kutazamwa zaidi 2016

Image
Mwaka unapoisha wafuatiliaji mbalimbali wa muziki huwa kwenye nafasi nzuri ya kuwafanyia tathmini wasanii kutokana na kazi walizofanya mwaka mzima, ambazo hutoa miongozo ya kutabiri nafasi ambazo wasanii hao wanaweza kuwa nazo katika mwaka unaofata.  Mtangazaji wa BBC Radio 1 Xtra ya Uingereza, DJ EDu ametaja orodha ya wasanii wake watano wa kuwatazama zaidi mwaka 2016, kutokana na kufanya vizuri mwaka 2015. Katika orodha hiyo amemtaja muimbaji wa Tanzania, Vanessa “Vee Money” Mdee ambaye amemuweka kwernye nafasi ya 2. Wengine aliowataja ni 5. A pass (Uganda), 4. Runtown (Nigeria) 3. Donald (Afrika kusini) na 1. Ston bwoy (Ghana). Take note @djedu ’s Top 5 ones to watch in 2016 @IAmPass , @iRuntown , @DonaldInDenial , @VanessMdee + No.1 @Stonebwoyb pic.twitter.com/YCIj5TFBdL — BBC Radio 1Xtra (@1Xtra) January 3, 2016 Dj EDu huendesha kipindi cha chati ya muziki, DNA Top 5 ambayo hujuimuisha kazi za wasanii mbalimbali wa Afrika ikiwemo Tanzania. ASANTE KWA KUTEMBELEA

Tyga matatani, ni kwa kudaiwa kumtongoza binti wa miaka 14 kwenye Instagram (Video)

Image
Hivi ndivyo msichana huyo alivyosema: “I’m very upset that a story about Tyga, Kylie Jenner and me was published in OK! Magazine and I want people to know the truth. The truth is that Tyga contacted me first. He direct­messaged me on Instagram. I knew who he was, but I was surprised that he was contacting me. I thought that it could possibly be about my music but he did not mention that in his initial communication. I thought that was strange but I was thinking he would bring it up in his next message to me. However, he didn’t mention in the next message.”  “I began to feel uncomfortable when he asked me to FaceTime with him. He asked me to FaceTime three times but I didn’t do it. Because of my discomfort with why he wanted to communicate with me, I quickly stopped responding. I never sent the communication between Tyga and me to OK! Magazine and I don’t know how they obtained them. I would never have allowed OK! Magazine or any other magazine to use them. It is also upsetting to m

Ditto ataja sababu za wasanii wapya kupotea

Image
Msanii na mtunzi wa nyimbo, Lameck Ditto amesema wasanii wengi wachanga wanashindwa kufanikiwa kutokana na woga pamoja na kutokuwa wabunifu kwa kukopi kazi za wasanii waliowakuta kwenye game. Ditto ambaye pia kwa sasa amejikita kwenye kilimo cha biashara, amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa,  kama wasanii wangeamini wanachofanya pamoja na kuwa wabunifu, wangefanikiwa. “Kitu kikubwa wanashindwa kuwa tofauti na wengine,” alisema. “Mimi naona vijana wengi wapo hivyo, hawana ubunifu yaani kama ni waoga waoga hawaamini wanachokifanya ndio maana wanaiga kile wanachokiona. Mimi nawashauri wajitahidi kuonyesha utofauti,  wafanye kazi kwa bidii hakuna kitu cha ajabu wote wamepitia huko huko,” alisema. ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!! LIKE PAGE  YETU KWA  HABARI  ZAIDII

Professor J kuihamishia studio yake Mikumi

Image
Msanii mkongwe wa Hip Hop na Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Joseph Haule ‘Professor Jay’, amesema ana mpango wa kuihamishia studio ya Mwanalizombe kwenye jimbo lake ili aweze kutekeleza ahadi ya kuinua sanaa.  Akizungumza na gazeti la Mtanzania Jumatatu hii, Professor Jay alisema moja ya ahadi alizowaahidi wakazi wa Mikumi kwenye kampeni zake ni kuibua vipaji vipya. “Mikumi kuna vipaji vingi vya muziki lakini hakuna aliyeweza kuviibua kwa miaka mingi, ila mimi nikiwa kama Mbunge wao nitatekeleza ahadi hii kwa kuihamishia studio yangu Mikumi ili wasanii chipukizi waweze kufanya kazi zao,” alisema Profesa Jay.  Mwanalizombe ni studio inayomilikiwa na msanii huyo ipo maeneo ya Mbezi Luis, jijini Dar es salaam na imeshatoa nyimbo kali kama Makamanda wimbo wa Sugu, Tatu Chafu na Kipi Sijasikia chini ya mtayarishaji Villy.  ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!! LIKE PAGE  YETU KWA  HABARI  ZAIDII

Lukuvi: Tunataka nyumba nafuu za ukweli

Image
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuandaa mpango wa haraka wa mradi wa kujenga nyumba za gharama nafuu utakaokuwa na ukweli wa unafuu huo Alitoa agizo hilo jana alipotembelea ofisi za shirika hilo mkoani hapa. Alisema kuanzia sasa, NHC lazima ibuni mbinu rahisi za kujenga nyumba bora ambazo zitauzwa kwa gharama nafuu ya ukweli kuliko zinazouzwa sasa ambazo alisema wananchi wengi wanashindwa kuzinunua kwa sababu bei yake ni kubwa.  ‘‘Acheni kuilalamikia Serikali kwa kuchukua fedha za Ongezeko la Thamani (VAT) kwenu kwamba ndiyo inayoongeza gharama za ujenzi, fanyeni utafiti wa namna ya kuanza kujenga nyumba bora na za gharama nafuu kiukwelikweli ambazo mnaweza kujenga mijini na hata kwenye miji midogo midogo vijijini’’ alisema.  Lukuvi alisema Watanzania wamechoka kusikia taasisi zinatangaza kwamba zinajenga nyumba za kuuza kwa gharama ndogo wakati bei inakuwa kubwa sawa na nyumba za kuuza kibiashara. Awal