Posts

Showing posts from October, 2014

NEWS ALERT: AJALI YA BASI LA SIMBA MTOTO KUGONGANA NA LORI MTO WAMI

Image
Basi la simba mtoto limegongana na lori muda huu mto wami na picha hii inaonesha taswira halisi ya ajali hiyo Tutawapa taarifa zaidi baadaye Picha na Frank Msaki

TAARIFA KUHUSU NDEGE ILIYOPATA AJALI MUDA MCHACHE ULIOPITA NA KUSABABISHA VIFO NA MAJERUHI

Image
Watu wanne wamefariki katika ajali ya ndege iliyotokea saa chache zilizopita baada ya ndege ndogo kugonga jengo la uwanja wa ndege na kuwaka moto.   Ndege hiyo iligonga jengo la uwanja wa Wichita, Kansas Marekani na kusababisha vifo vya watu wawili waliokuwemo ndani kufariki ikiwemo rubani wa ndege, na watu wengine waliofariki waliokuwa ndani ya jengo. Majeruhi watano katika ajali hiyo walipelekwa hospitali, watatu waliruhusiwa kutoka huku wengine wawili wakiendelea kutibiwa. Kikosi cha askari wa zimamoto walipambana na moto huo na kuuzima ndani ya muda mfupi, na baadhi ya barabara za ndege uwanjani hapo zilifungwa japo ajali hiyo haikuathiri ratiba za ndege kutua na kuruka. Ndege hiyo ina uwezo wa kubeba watu 13 japo idadi ya watu waliokuwemo ndani ya ndege haijafahamika, uchunguzi unaendelea ili kubaini chanzo cha ajali hiyo pamoja na thamani ya vitu vilivyoathirika kutokana na ajali hiyo.

Nigeria students design race car

Image
Five final year students of the Nnamdi Azikiwe University, Awka, have designed and fabricated a formula student race car as a passing out project. Yep, they did.The students are  Okoyenta Augustus, Okeke Chukwuebuka,  Ezeani Chikeluba‎,  Ofoegbu Kenechukwu, and  Igbokwe Ebenezer. (all pictured above). Continue to see more photos. The car was designed u nder the supervision of Dr. S C Nwigbo. The project took about a year and six months to complete, with the students working under severe condition in regards to power supply, poor machinery and attending lectures. But they never backed down, and have achieve this incredible feat.‎ Here are photos of the car's exhibition in the presence of the Vice Chancellor, Prof. Ahaneku and other dignitaries from the school.

WATISHIWA KIFO MAAFISA WALIOBAINISHA UFISADI WA BILIONI 40

Image
SAKATA la ubadhirifu wa bilioni 40 katika halmashauri ya jiji la Mwanza limechukua sura mpya baada ya maofisa wa ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) walioibua sakata hilo kudai kutishiwa maisha. Hayo yalibainishwa jana na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa, Rajab Mohammed Mbarouk wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara yao mkoani hapa ambacho hakikuendelea kufanyika kutokana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia au mwakilishi wake kutofika katika majumuisho hayo. “Tumepokea taarifa ya kutishiwa amani kwa baadhi ya wakaguzi, tunasema ofisi ya CAG ipo kisheria na kikatiba na wanafanya kazi kwa kufuata sheria na Katiba,” alisema Mbarouk na kuongeza kuwa, kama wabunge watahakikisha wanatunga sheria na kuzisimamia na kwamba wakaguzi waendelee na kazi yao bila ya hofu. Mbarouk alimpongeza Mkaguzi Mkazi pamoja na timu yake kwa kuwa na uzalendo

WEMA SEPETU AMMWAGA DIAMOND PLATNUMZ

Image
Safari hii ndiyo basi tena! Pamoja na kujishaua mbele ya kamera za wanahabari na simu za kuteleza (smart phones) kisha kutupia kwenye mitandao ya kijamii wakizuga wapo pamoja, habari ya mjini inadai kwamba, sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ amemmwaga staa wa Ngoma ya Mdogomdogo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’. Sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’. KUMBE NI MUDA MREFU TU Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni rafiki mkubwa wa wapenzi hao, ishu ya kumwagana ilikuwepo muda mrefu lakini kinachoendelea ni kuwazuga mashabiki wao ili wasishuke kisanaa. SAFARI YA CHINA Chanzo hicho kilifunguka kwamba, siku chache zilizopita Wema au Madam kama anavyopenda kuitwa, alimwambia Diamond kuwa anakwenda China kuchukua mzigo bila kumwambia ni mzigo gani na kwamba huko aliambatana na wanaume wanne, wawili wakiwa ni Martin Kadinda na Petit Man. KAMA MBWAI, IWE MBWAI Ilidaiwa kwamba wanaume wengine wawili wapo kwenye mabano, jambo a

BABY MADAHA ATILIA SHAKA AFYA YA ‘MKONGO WA WOLPER’

Image
Msanii wa filamu na muziki, Baby Joseph Madaha amesema ana wasiwasi na afya ya mwanaume Mkongo anayefahamika kwa jina la Mwani aliyewahi kuwa mpenzi wa Jacqueline Wolper. Msanii wa filamu na muziki, Baby Joseph Madaha Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Baby Madaha alisema, hofu yake hiyo inatokana na namna mwanaume huyo anavyotapanya pesa huku akitangaza dau kubwa ili kuwapata mastaa wa kike. Mkongo anayefahamika kwa jina la Mwani aliyewahi kuwa mpenzi wa Jacqueline Wolper.   “Kimsingi mimi nina wasiwasi na afya yake, asije akawa anataka kutumaliza. Mimi simhitaji hata kama ana mamilioni yake. Hofu yangu ni hii tabia yake ya kutaka kutupitia sisi mastaa, wanaokubali kuwa naye eti kisa ana mkwanja nawaonea huruma,” alisema Baby Madaha

ODAMA: NIKO KWENYE UHUSIANO MAKINI

Image
MWANADADA mwenye mvuto wa kipekee ndani ya tasnia ya filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kwamba kwa sasa yupo kwenye uhusiano makini (serious) na muda si mrefu ataolewa. Mwanadada mwenye mvuto wa kipekee ndani ya tasnia ya filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’. Akichonga na gazeti hili hivi karibuni Odama alisema: “Ukweli kwa sasa niko kwenye uhusiano siriasi na tuko kwenye mipango ya ndoa japokuwa siwezi kutaja mwezi au tarehe ila mashabiki watambue kwamba nitaolewa soon.” Alipotakiwa kutaja angalau jina la mwanaume wake huyo, msanii huyo aliweka ngumu na kudai haina umuhimu kwa sasa hali inayoashiria huenda ni mume wa mtu na kwamba akimuanika atakinukisha.

ORODHA MPYA YA VYUO VIKUU 100 BORA BARANI AFRICA, UDSM YAWA YA NNE...SOUTH AFRICA WATAMBA...ICHEKI HAPA

Image
The rankings of Africa’s top higher education institutions is provided by the 4 International Colleges & Universities (4icu). 4icu  is an international higher education search engine and directory reviewing accredited Universities and Colleges in the world.  4icu.org includes 11,160 Colleges and Universities, ranked by web popularity, in 200 countries. A quick look shows that South African universities dominate the top despite the fact that South Africa ranks very low on the quality of education in the world... 1    University of South Africa South Africa 2    University of Cape Town South Africa 3    Universiteit Stellenbosch South Africa 4    University of Dar es Salaam Tanzania 5    University of KwaZulu-Natal South Africa 6    University of Pretoria South Africa 7    Cairo University Egypt 8    University of the Witwatersrand South Africa 9    University of the Western Cape South Africa 10    Obafemi Awolowo University N