New Pictures : Ajali Mbaya Yatokea Arusha , Lori Lagongana Uso kwa Uso na Kifodi na Kuua

Watu 9 wamekufa na wengine 2 wamejeruhiwa baada ya basi dogo la abiria Toyota Hiace kugongana uso kwa uso na lori mafuta katika eneo la Usa Waterway, Arusha




Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini