Ajali ya barabarani yaua wengi Arusha

dadi kubwa ya watu wamekufa (wasiopungua tisa) na wengine wengi kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Tengeru mkoani Arusha.
Walioshuhudia wanasema ajali imetokokea barabara ya Tengeru kuelekea Usa River, kati ya lori la mizigo na gari dogo la abiria – Toyota Hiace.
Mmoja wa watu waliokufa katika ajali hiyo eneo la Tengeru.
Hiace inavyoonekana baada ya ajali hiyo.

Mmoja wa watu waliokufa katika ajali hiyo eneo la Tengeru.

Mabaki ya gari aina ya Toyota Hiace baada ya ajali.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini