Posts

Showing posts from September, 2014

CUF YATANGAZA KUINGIA MTAANI NA JAJI WARIOBA, KUPINGA RASIMU YA KATIBA: SOMA ZAIDI HAPA===>

Image
CHAMA Cha Wananchi (CUF) kimesema kitakuwa tayari kuingia mitaani na kuungana na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba, kupinga rasimu itakayopitishwa na Bunge Maalumu la Katiba kwa madai kuwa haitokani na mawazo ya wananchi.

ALICHOKIANDIKA 'MASANJA MKANDAMIZAJI' BAADA YA DIAMOND KUMZAWADIA GARI: WEMA SEPETU: BOFYA HAPA KUSOMA

Image

WAGANGA WANAWEZA KUFANYA WATU KUWA MATAJIRI LAKINI WAO WANABAKI MASIKINI: BOFYA HAPA KUJUA SIRI

Image
Kuna watu ambao wanapata mafanikio makubwa kwa kutumia uchawi. Ila mafanikio yale hayaletwi na uchawi bali imani ya mtu husika.

AJALI YATOKEA BARABARA YA MOSHI - ARUSHA

Image
Polisi wa usalama barabarani akiliangalia kwa karibu moja ya gari lililoharibika vibaya katika ajali iliyotokea mchana huu katika eneo la Sadal njia ya Moshi - Arusha.

DROGBA WA PORI LA SELOUS ANAYEJIPATI MKWANJA MREFU KUTOKA KWA WAZUNGU KILA SIKU Drogba 1

Image
KATIKA kipindi cha miaka minne iliyopita hadi kufikia leo, watalii wanaoenda kutembelea Pori la Akiba la Selous lililopo katika Kijiji cha Mloka kilichopo Kata ya Mwaseni wilayani Rufiji mkoani Pwani, wanapata fursa ya kufurahia utalii wa aina yake pindi wanapokutana na mmoja wa wanakijiji wa eneo hilo anayejulikana kwa jina la Mwananyika lakini kwa sasa amepewa jina la Drogba kutokana na umaarufu aliojipatia miaka ya hivi karibuni. Inaelezwa kuwa amefanana na Drogba yule mwanasoka anayechezea timu ya Chelsea kwa sasa.

MAJONZI NA SIMANZI: JWTZ MILIONEA ALIVYOUAWA KWA RISASI.

Image
NI taharuki iliyojaa majonzi na simanzi kufuatia Jeshi la Wananchi wa Tanzania ‘JWTZ’ Kikosi cha CMTU jijini Dar kuondokewa na mpiganaji wake, Sajenti Yohana Lugendo Gweso (40) ambaye alikuwa milionea aliyepigwa risasi sita mwilini na kufariki dunia papo hapo.

AJALI: LORI LA MAFUTA LAANGUKA, WANANCHI WAJISEVIA MAFUTA

Image
  Ajali hiyo ya Lori la Mafuta lililokuwa likielekea Nchini Rwanda, imetokea Septemba 28,2014,eneo maarufu la Mach i njioni-barabara ya Benaco - Rusumo w i layani Ngara mkoani Kagera ambapo chanzo chake ni kufeli mfumo wa breki.

SOKA LA BONGO NA FITNA ZAKE

Image
Wachezaji wa NDANDA FC wakikatiza polini kukwepa mambo ya shiriki wakati wakiwahi mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar. mwisho wa siku waliishia kufungwa mabao 3-1

ANGALIA PICHA MATESO ANAYOPATA DADA

Image
Kaseli James mwenye umri wa miaka 29, mkazi wa Kijiji cha Stela Kata ya Kagea Wilaya ya Chato, mkoani Geita, anapata maumivu makali mwilini mwake kufuatia uvimbe mkubwa katika mdomo wake, unaomsumbua kwa muda wa miaka minne sasa.

ANGALIA PICHA PAKA AFUNGWA HIRIZI MTINI

Image
Paka mwenye hirizi kubwa shingoni akiwa amepigiliwa misumari juu ya mti uliopo jirani na Msikiti wa kwa Mtawara uliopo Kata ya Mwembesongo, Morogoro.

MASKINI KIJANA HUYU, ANUSURIKA KUUAWA KWA KUCHOMWA MOTO AKIDHANIWA NI MWIZI!

Image
MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Richard Osward (40) mkazi wa Tabata Segerea, hivi karibuni alinusurika kuuawa kwa kuchomwa moto na wananchi baada ya kuhisiwa kuwa mwizi alipokutwa alfajiri akiwa na mfuko ambao ndani yake kulikuwa na bomba, huko Segerea.

TAHADHARI MUHIMU KWA WATUMIAJI WA MITADAO YA KIJAMII!

Image
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imeendelea kuwakumbusha wananchi kutumia njia ya mawasiliano ipasavyo ili kujijengea heshima kwani kwa sasa hatua kali za kisheria zimeanza kuchukuliwa kwa wale wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii.Akizungumza na Times fm,

JAMBAZI SUGU LAUAWA KWA KUCHOMA MOTO NA KUBAKI MAJIVU MKOANI DODOMA

Image
  Jambazi sugu limeuawa na kuchomwa moto Mkoani Dodoma katika wilaya ya Chamwino kijiji cha Fufu. Kabla ya Jambazi hilo kuuawa na wanachi unaambiwa lil i kuwa linataka kufanya uhalifu na baada ya kushindikana likaamua kuuwa raia wawili kwa bastola aliyokuwa nayo.

Taswira: Mahakama ya Mwanzo ya Maili Moja, Kibaha – Pwani, miaka zaidi ya 50 ya Uhuru tupo hivi?

Image
Askari Polisi akiwa katika Mahakama ya mwanzo ya Maili Moja, Kibaha mkoa wa Pwani baada ya kuwafikisha watuhumiwa kwa ajili ya kusikiliza kesi zao. Picha ndogo ni choo wanachotumia wafanyakazi wa mahakama hiyo.

American Couple get Married on Mount Kilimanjaro, Tanzania

Image
This is how it started, narrates Kara Lee: “Sometimes back during the last Christmas in Minnesota, United States of America we had an engagement event with my hubby Richard Miller and committed ourselves that the wedding event must be done on the roof top of Africa and this is none other than Kilimanjaro Mountain”. Thereafter, the duo started planning for this historic and unique event by raising money for their trip to Tanzania and in particular Kilimanjaro Mountain. They also informed their relatives about their plan to have their wedding in Mount Kilimanjaro of which they got a green light from them.

Wauza unga watumia utashi kukwepa mkono wa Dola kuuza dawa za kulevya

Image
TATIZO la kuwepo na dawa za kulevya nchini bado ni kubwa na ukubwa uliopo imebainika kuwa haulingani na kiwango cha juhudi za kudhibiti tatizo hilo miongoni mwa wanajamii huku wauzaji wakiendelea kutumia mbinu mbadala kwa lengo la kufanikisha biashara hiyo.

Yajue maisha ya Drogba wa pori la Selous yanavyompatia kipato

Image
KATIKA kipindi cha miaka minne iliyopita hadi kufikia leo, watalii wanaoenda kutembelea Pori la Akiba la Selous lililopo katika Kijiji cha Mloka kilichopo Kata ya Mwaseni wilayani Rufiji mkoani Pwani, wanapata fursa ya kufurahia utalii wa aina yake pindi wanapokutana na mmoja wa wanakijiji wa eneo hilo anayejulikana kwa jina la Mwananyika lakini kwa sasa amepewa jina la Drogba kutokana na umaarufu aliojipatia miaka ya hivi karibuni. Inaelezwa kuwa amefanana na Drogba yule mwanasoka anayechezea timu ya Chelsea kwa sasa.

Hali ya soko la Tandika mtaa wa Kizonga

Image
Hii ndiyo hali ya soko la Tandika, jijini Dar es Salaam. Soko ambalo mara nyingi nafaka za jumla kama Mahindi, Mchele na maharage huuzwa hapo hivyo kutegemewa na wakazi wengi wa jijini.  Hapa  sehemu tu ya Mtaa mmoja ujulikanao kwa jina la “Kizonga”.

Tcu yakifungia chuo cha IMTU kudahiri wanafunzi wapya

Image
Tume ya vyuo vikuu nchini Tanzania imesitisha udahili wa wanafunzi wapya katika chuo kikuu cha IMTU kwa mwaka wa masomo 2014/15 na kukipa muda wa miezi 3 chuo hiko kurekebisha kasoro zinazojitokeza mara kwa mara ikiwemo kudahili wanafunzi wengi.

Nakala ya Rasimu ya Katiba Mpya iliyopendekezwa: Ibara 28 zimefutwa, 42 Zimeongezwa….47 zimebaki kama zilivyo na 186 zimerekebishwa

Image
  Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba jana ilikabidhi bungeni Rasimu ya Katiba inayopendekezwa ikiwa na ibara 289 kulinganisha na 271 za Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyokuwa chini ya Jaji Joseph Warioba. 

Pichaz kutoka kwenye uzinduzi wa filamu mpya ya Kajala ‘Mbwa Mwitu’

Image
Muigizaji wa filamu,Kajala Masanja maarufu kama Kajala (Sept 24) amezindua filamu yake mpya iitwayo ‘Mbwa Mwitu’.Uzinduzi huo umefanyika Century Cinema (Movie Theater) iliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam kuhudhuriwa na waigizaji wenzake pamoja na wadau wa filamu nchini Tanzania. Mastaa walioshiriki katika kuigiza kwenye filamu hiyo ni Hemed Suleiman aka PHD,Grace Mapunda,Kajala pamoja na msanii wa Bongo Fleva Quick Rocka.

Hospitali imesemaje kuhusu mchezaji wa Uganda aliefariki baada ya goli la Lampard?

Image
Ni taarifa ambayo ilitolewa na vyombo mbalimbali vya habari kwamba mchezaji wa club ya Simba ya Uganda Fahad Musana amefariki kutokana na mshtuko wa goli alilolifunga Frank Lampard wa Manchester City wakati wakicheza na Chelsea juzi.

Kilichowakuta CHADEMA walioandamana Mwanza Sept.25

Image
Kutoka 88.1 Mwanza ambapo Polisi wamekamata viongozi sita na wafuasi kadhaa wa (CHADEMA) waliokuwa wakijiandaa kuandamana baada ya kukaidi amri ya polisi kusitisha maandamano. Ni September 25 saa 5.40 asubuhi muda mfupi baada ya wafuasi hao kujipanga kwa maandamano yaliyokuwa yaanzie viwanja vya Sahara mpaka ofisi za mkuu wa wilaya ya Nyamagana na kufanya mkutano mfupi wa hadhara kufikisha ujumbe. Purukushani ilidumu kwa zaidi ya dakika 120 ikiambatana na wafuasi hao kupigwa virungu huku taarifa zisizo rasmi zikisema Polisi wamewatia mbaroni watu 14 wanaodaiwa kuandamana bila kibali. Kwa mujibu wa ripota wa nguvu Albert G. Sengo, licha ya kuthibitisha kutokea kwa tukio hilo Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza bado halijatoa taarifa kamili ambapo John Nzwalile katibu wa CHADEMA Mwanza amesema >>> 

White Tiger Tragedy: Indian Government Launch Inquiry into Delhi Zoo Death

Image
The white tiger approaches young man before killing him

ANGALIA PICHA MABINTI WA MARAIS WA AFRIKA

Image
SAFU hii mpya itakuwa yakutoa elimu kwa wasomaji. Wiki hii tunaanza na baadhi ya mabinti wa marais wa Afrika ambao wanatikisa sana katika m i tandao mbalimbalikutokana na sifa zao tofauti

KUTANA NA KAKA YAKE RAISI WA MAREKANI BARACK OBAMA

Image
Raisi wa Marekani Barack Obamma ana kaka yake aitwaye Mark Obama Ndesandjo ambaye ameshare baba mmoja na Rais ya wa marekani,Baba yao alifunga ndoa na mama yake Ndesanjo lakini baadae waliachana na kufunga ndoa na mama yake Barack Obama aliyejulikana kwa jina Ann Dunham hizi ni baadhi ya picha zao zitazame hapa..

ANGALIA VIDEO:MCHUNGAJI ALIYEWAHI KUWALISHA NYASI WAUMINI SASA AWANYWESHA PETROLI!

ANGALIA PICHA ZA MAELFU YA WAKIMBIZI TYOKA NCHINI SYRIA WAKIWA WAMEZUIWA KUINGIA NCHINI UTURUKI

Image
 Stand-off: A tank faces dozens of cars clustered along the barbed wire border of Turkey and Syria where would-be jihadists are believed to be entering the country

Mwigizaji Jack Wolper Afunguka Kuwa Sasa Yupo Tayari Kuwa Mke

Image
STAA mkali wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa yuko tayari kuolewa kwani anaamini anastahili kuwa mke.

Taarifa Mbaya Kutoka Simba Kuhusu Kuvunjika Kwa Ivo Mapunda

Image
Wakati zikiwa zimebakia takribani wiki mbili kabla ya kukutana na mahasimu wao wa jadi, klabu ya Simba imepata pigo kubwa katika timu.

Wolper afunguka kuwa sasa yupo tayari kuwa mke

Image
Staa mkali wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper STAA  mkali wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa yuko tayari kuolewa kwani anaamini anastahili kuwa mke.

Watu 115 wafariki katika kanisa la T.B Joshua lililo anguka nchini Nigeria

Image

“Sijawahi kutoa rushwa ya ngono kwa ‘dairekta’….” Sandra

Image
Msanii wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’.

Wema aandika historia kwenye uzinduzi wa YAMOTO Band

Image
“MADAM…Madam…Madam…” ndizo kelele zilizosikika wakati Beutiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ alipokuwa akimtunza fedha nyingi dogo machachari wa Bendi ya Yamoto, Asilahi Isiyaka ‘Dogo Aslay’. Tukio hilo limetokea ndani ya ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem na kuweka historia kwa Wema kuwa staa wa kwanza ‘kumwaga’ fedha wakati wa uzinduzi wa bendi ya Yamoto. Aslay akimwagiwa minoti na Wema Sepetu ‘Madam’

YOU ARE HERE: NEWS iPhone 6 Plus Bending in Pocket,

Image
Multiple iPhone 6 Plus users are reporting accidental bending of their handsets while in the front pocket. Additionally, a YouTube video has surfaced on the Internet that puts the iPhone 6 Plus through the 'bend test'. Numerous reports have appeared online citing multiple  iPhone 6 Plus  users who suffered accidental bending beyond repair while carrying the handset in their pockets. A user  detailed  the issue on a  MacRumors  forum post titled, 'iPhone 6 Plus slightly bent after 2 days'. He said he'd noticed a slight bend on his iPhone 6 Plus when he kept the device in his front pocket for about 18 hours. Another user  noted  that his iPhone 6 Plus had bent while it was kept in the front pocket.

WASANII WATINGA VIWANJA VYA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUSIKILIZA RASIMU ILIYOPENDEKEZWA

Image
Msanii wa filamu nchini Tanzania maarufu kama Mzee Chilo akiwa katika picha ya pamoja na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Angellah Kairuki leo 24 Septemba, 2014 katika viwanja vya Bunge hilo mjini Dodoma.

KESI YA WAFUASI WA CHADEMA KUVAMIA POLISI YASOMWA LEO MAHAKAMANI

Image
UPANDE wa Jamhuri katika kesi inayowakabili wafuasi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umedai mahakamani kwamba washtakiwa hao walikiuka amri halali ya Jeshi la Polisi baada ya kuvuka kizuizi kilichowekwa eneo la Makao Makuu ya  jeshi hilo.

MKUU WA MKOA WA MBEYA AIAGIZA SUMATRA KUANGALIA MIKATABA YA MADEREVA

Image
NA KENNETH NGELESI,MBEYA MKUU wa Mko wa Mbeya Abbas Kandoro ameiagiza Mamlaka ya Udhibiti na Usafiri wa    nchi kavu na majini (Sumatra) kuanza kukagua mikataba ya ajira kwa madereva kwani wengi wao hujiingiza katika vitendo hivyo ,hawana ajira na hufanya hivyo kama njia ya kuongeza vipato vyao.

PICHA: TRANSFOMA ZA TANESCO ZILIZOUNGUA BAADA YA KUIBWA MAFUTA NA KUSABABISHA HASARA YA BILIONI 1.4

Image
Afisa usalama wa shirika la umeme nchini Tanesco Cyprian Lugazia akiwaonyesha waandishi wa habari transifoma zilizoungua baada mafuta yake kuibwa na kulisababishia hasara shirika hilo Ya jumla ya shilingi bilioni 1.4 katika kipindi cha miezi minne tangu April mwaka huu.(Picha na Kenneth Ngelesi)

Nigerian Army confirms Boko Haram leader Shekau is dead

Image
The Defence Headquarters has released a statement claiming to have killed a man posing as the leader of Boko Haram, Abubakar Shekau (or his impersonator) in an attack (both land and air) in Konduga Borno state between 12nd to 17th September. Find the statement after the cut

Actor Rosita Iheme speaks on his recently released motivational book

Image
Comic act Osita Iheme popularly known as PawPaw recently published a 110-paged inspirational book with 101 quotes titled 'Inspired 101'. He spoke recently on why he published the book and what he intends to do with it..

CHUMBANI ZAIDI: FAHAMU VYAKULA VINAVYOSAIDIA KUONGEZA UWEZO WA KUFANYA TENDO LA NDOA!

Image
Hakuna binadamu asiyefahamu nini maana ya mapenzi na kama wapo basi ni wachache sana na wanaweza kuwa hawafahamu kwa maneno lakini k i vitendo wanakuwa wanafahamu aidha kwa kuona, kusikia na hata kwa wao wenyewe kushiriki kwenye mapenzi hayo.   PILIPILI Kama tunavyojua wote mara nyingi chakula ambacho kimeungwa pilipili hufanya hata mapigo ya moyo kuwa tofauti na wakati mwingine hata jasho kutoka au kamasi kutoka