IDRIS SULTAN, MWAKILISHI WA TANZANIA BBA HOTSHOTS 2014

Mpiga picha na Msanifu kurasa, Idris Sultan mwakilishi wa Tanzania kwenye Big Brother HotShots ya mwaka huu.…

Mpiga picha na Msanifu kurasa, Idris Sultan mwakilishi wa Tanzania kwenye Big Brother HotShots ya mwaka huu.
Idris Sultan akiwa katika mapozi.
MPIGA PICHA na Msanifu kurasa (Graphic Designer), Idris Sultan anayefanya kazi kwenye kampuni ya I-View Studios, ni mwakilishi wa kwanza kutoka Tanzania aliyetajwa tayari kutuwakilisha mwaka huu kwenye shindano la Big Brother Africa. Majina bado yanaendelea kutajwa hivyo tunangoja kufahamu mshiriki wa pili.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini