WASANII WATINGA VIWANJA VYA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUSIKILIZA RASIMU ILIYOPENDEKEZWA

Msanii wa filamu nchini Tanzania maarufu kama Mzee Chilo akiwa katika picha ya pamoja na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Angellah Kairuki leo 24 Septemba, 2014 katika viwanja vya Bunge hilo mjini Dodoma.


Kiongozi wa msafara wa wasanii walifika katika Bunge Maalum la Katiba Bw. Simon Mwakifwamba akiwa katika picha ya pamoja na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Angellah Kairuki leo 24 Septemba, 2014 katika viwanja vya Bunge hilo mjini Dodoma.

Baadhi ya wasanii wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara (wa pili toka kushoto) wakati alipokutana nao maeneo ya viwanja vya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.



Baadhi ya Wasanii wakijadiliana jambo mara baada ya kutoka nje ya Bunge Maalum la Katiba leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

Wasanii wakiendelea kumsikiliza Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara wakati alipokutana nao maeneo ya viwanja vya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.


Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fenella Mukangara akiwa katika picha ya pamoja na wasanii maeneo ya viwanja vya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini