“Sijawahi kutoa rushwa ya ngono kwa ‘dairekta’….” Sandra


Msanii wa siku nyingi katika tansia ya filamu Bongo, Salama Salmin ‘Sandra’.

Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Sandra alisema kuna baadhi ya wasanii wanafikiri kuwa na mwanaume ndani ya Klabu ya Bongo Movie ndiyo kutimiza ndoto zao kumbe ni kujidharaulisha tu.
“Sina bwana wala sijawahi kutoa rushwa ya ngono kwa ‘dairekta’ na sifikirii kufanya hivyo kamwe, maana ni kujishushia heshima yangu  wakati mimi ni mke wa mtu na wala siwezi  kunadi mwili wangu,” alisema Sandra.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini