Taswira: Mahakama ya Mwanzo ya Maili Moja, Kibaha – Pwani, miaka zaidi ya 50 ya Uhuru tupo hivi?



Askari Polisi akiwa katika Mahakama ya mwanzo ya Maili Moja, Kibaha mkoa wa Pwani baada ya kuwafikisha watuhumiwa kwa ajili ya kusikiliza kesi zao. Picha ndogo ni choo wanachotumia wafanyakazi wa mahakama hiyo.


FP_Mahakama_02

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini