Posts

Showing posts from November, 2014

Hili ni basi ambalo limetumbukia shimoni kwenye mlima Kitonga mkoani Iringa.

Image
Basi lililotumbukia shimoni bila abiria lilikuwa likivutwa, na haikuwezekana. Njia ilifungwa na mamia ya wasafiri tulibaki eneo la tukio kwa saa mbili na nusu. VICTOR SIMON

Kim Jong-Un's Aunt Died of Stroke While Arguing About Her Husband's Execution, North Korean Defector Reveals

Image
The aunt of North Korean dictator Kim Jong Un died of a stroke as she was arguing with him on the phone about the execution of her husband, Jang Song Thaek, a defector has revealed. Kang Myung-do, a defector and son-in-law of former North Korean Prime Minister Kang Sun San, has said that Kim Kyung Hee, the sister of the current leader's father, Kim Jong Il, suffered her third stroke days after her husband was killed in December, according to  CNN . The aunt was hospitalized but could not survive. Her death was not announced at the time lest people linked it to her husband's execution, the defector said. However, Korean media had said she committed suicide days after her husband's killing. Jang, once considered the second most powerful man in North Korea, was accused of treason and drug abuse among other charges. "The accused Jang brought together undesirable forces and formed a faction as the boss of a modern day factional group for a long time

HUYU NDIYE SINGASINGA TAPELI WA ESCROW - GPL

Image
Stori: Mwandishi Wetu Unamjua?  Anaitwa Harbinder Singh Sethi! Ni mfanyabiashara bilionea mwenye asili ya Bara la Asia na mmiliki wa mtambo wa kufua umeme wa Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ambayo hivi karibuni imezua tafrani Bongo kufuatia kampuni yake kuhusishwa na uchotwaji wa fedha kiasi cha Sh. Bilioni 306 kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Harbinder ambaye ni singasinga anatajwa pia akidaiwa kuwa mfanyabiashara tapeli kufuatia vitendo vyake mbalimbali katika kumiliki makampuni na ukwepaji wa kodi ya serikali. HISTORIA YAKE FUPI Harbinder anatajwa na vyanzo kwamba ni mzaliwa wa Mkoa wa Iringa. Mwaka 1977 akiwa na umri wa miaka 20 ya kuzaliwa na nduguze wawili, Nota Singh na Manjit Singh walianzisha kampuni ya ujenzi wa barabara iliyojulikana kwa jina la Ruaha Concrete Co. Ltd ikitumia SLP 498, Iringa. Ruaha ni sehemu maarufu kwenye Manispaa ya Mji wa Iringa kukiwa na vitongoji vya Ipogoro, Kibwabwa na Ndiu

WANAWAKE WASUTANA KISA KUIBIANA BWANA

Image
Stori: Dustan Shekidele, Morogoro Makubwa!  Wakati Wizara ya Nishati na Madini ikiwa kwenye msukosuko wa fedha zilizochotwa ‘kihuni’ kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, mwanaume mmoja, mtumishi wa wizara hiyo mkoani hapa almaarufu Kigogo wa Escrow, amesababisha wanawake wawili kusutana kwa matarumbeta na kukabana wakidaiwa kumgombea kwani ana fedha ‘chafu’. Wakina mama, Tabu Mohamed na Mwajuma Chota  ( katikati ) wakisutana kwa kuibiana mabwana. Tukio hilo la aina yake lilijiri wikiendi iliyopita katika Mtaa wa Karume mjini hapa ambapo wanawake hao, Tabu Mohamed na Mwajuma Chota walisababisha pakachimbika hadi polisi walipofika na kuokoa jahazi. Awali ilifahamika kwamba wanawake hao walikuwa wakiishi pamoja maeneo ya Kikundi, Kata ya Sultan Area mkoani hapa. Kwa mujibu wa madai ya mashuhuda waliokuwa wamefunga mtaa huo, Tabu ndiye aliyeanza ‘kuchepuka’ na kigogo huyo ambaye ni mume wa mtu aliyemnunulia gari aina ya Toyota Opa. Madai yaliendelea kushushwa kwamba, Mw

JIDE AANIKA KISA CHA KUMMWAGA GARDNER

Image
    Stori: Gladness Mallya Funguka!  Kwa mara ya kwanza, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ ameanika kisa cha kummwaga mumewe, Gardner Gabriel Habash ‘Kaptein’ akieleza mateso aliyokutana nayo kwenye ndoa yao. Akizungumza na Kituo cha Radio Times FM cha jijini Dar, wikiendi iliyopita, Jide alifunguka kuwa yeye ndiye aliyeamua kummwaga Gardner. Katika mahojiano hayo, Jide alisema kwamba alikuwa kwenye uhusiano na mtu aliyekuwa akimpiga mara kwa mara licha ya kutomtaja moja kwa moja kuwa ni Gardner lakini alisema alikuwa akiteswa (hakuna mwanaume mwingine zaidi ya Gardner). Kabla ya kuamua kuusema ukweli huo, Jide aliweka wazi kuwa siku zote amekuwa akiepuka kuzungumzia masuala yake binafsi kwenye vyombo vya habari. “Kitu kimoja ambacho ningependa watu wafahamu, mimi siyo mtu ambaye huwa napenda kuongea maisha yangu kwenye media,” alisema Jide na kuongeza: “Ndiyo maana lolote ambalo linaendelea ndani ya nyumba yangu au kwenye maisha yangu,

MZEE MAJUTO: MASTAA WA KIKE WANATAKA KUNIVUNJIA NDOA YANGU!

Image
Ndoa tamu!  Mkongwe wa sinema za Kibongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’  amesema kuwa, wasanii wa kike wamekuwa wakimpa usumbufu kiasi cha kuifanya ndoa yake itetereke kutokana na kuvutiwa naye kimapenzi. Pasipo kuwataja majina, Mzee Majuto alisema mastaa hao wamekuwa wakimsumbua kiasi cha kusababisha kero kubwa kwa mkewe na kumfanya apoteze imani kwenye ndoa yake. “Usumbufu upo wala siwezi kuwalaumu sababu mimi japo ni mzee lakini ni mwanaume mzuri ambaye ninawavutia kutokana na mambo yangu ninayoyafanya, kimsingi wanachotakiwa kuheshimu ni ndoa yangu,” alisema Mzee Majuto.

Watoto wa Obama Ndani ya Skendo Chafu ya Mavazi Mafupi

Image
Watoto wa rais wa Marekani Barrack Obama, Sasha na Malia wameshtumiwa kwa kukosa heshima na afisa mmoja wa chama cha Republican baada ya kuhudhuria sherehe za kutoa shukrani. Elizabeth Lauten ,ambaye ni mkurugenzi wa mawasiliano wa mbunge Stephen Fincher alitoa matamshi yake katika mtandao wa facebook ambayo baadaye yalifutwa. Baada ya kukosolewa Bi Lauten aliomba msamaha kwa kutoa matamshi hayo ya kukera. Alikua akikosoa sketi fupi zilizovaliwa na wasichana hao wa Obama. Bi Lauteni pia aliwashtumu wasichana hao kwa kuonyesha uchovu wakati waliposimama na baba yao katika sherehe hiyo ya ikulu ya Whitehouse.  Maandishi yake yalisoma: ”Kwa wapendwa Sasha na Malia: najua kwamba bado mko katika usichana wenu lakini ninyi ni miongoni mwa familia ya kwanza ya taifa hili, tafadhali jaribuni kuwa na heshima.Tafadhalini jaribu kuheshimu jukumu mlilopewa. ”Mama yenu na baba yenu hawaheshimu nyadhifa zao kama inavyohitajika na taifa kwa jumla. Kwa hivyo naona kwamba mnakosa

Mjeshi azima kwa pombe Iringa

Image
Wananchi Iringa wakimtazama askari wa jeshi ambae jina halikuweza kufahamika aliyekuwa amezima kwa ulevi uliopinduki mjeshi huyo akiwa akiwa amezima Mjeshi huyo akiwa amepata fahamu baada ya kumwagiwa maji Mjeshi akiwa amezima kwa kunywa pombe kupita kiasi .............................. .............................. .............................. ................ KATIKA hali isiyotegemewa askari mmoja wa jeshi la kujenga Taifa (JKT) anayesadikika kuwa na wa kambi ya Mafinga wilaya ya Mufindi mkoani Iringa usiku wa leo amenusurika kuvuliwa nguo za jeshi hadharani baada ya kukutwa amelewa chakali na kulala katika mfereji wa maji machafu eneo la nje ya stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani mjini Iringa Tukio hilo lilitokea muda wa saa 2 usiku baada ya wasamaria wema kumshusha askari huyo kutoka katika basi la Mgumba ambalo alikuwa amepanda kutoka Mafinga kuja mjini Iringa.

WANANCHI WAGOMA KUJIANDIKISHA KWENYE UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Image
Wakazi zaidi ta 350 wa vijiji vitatu vilivyopo kata ya Maere jijini Tanga wamelalamikia zoezi la kujiandikisha katika daftari la wapiga kura kufuatia kituo walichozoea kujiandikisha katika chaguzi mbalimbali zilizopita kuhamishiwa umbali wa kilomita Saba kutoka katika makazi yao hatua ambayo inawalazimu baadhi ya wasamaria wema kujitolea kukodisha usafiri wa pikipiki almaarufu boda boda kuwapeleka watu kwa awamu ili waweze kufanikisha zoezi hilo.    Wakizungumza katika maeneo tofauti yaliyopo kata ya Maere jijini Tanga wakazi hao wamelalamikia kitendo hicho kufuatia mwandikishaji kulazimishwa kukataa kwenda katika makazi ya watu na badala yake wameweka kituo hicho umbali mrefu na makazi ya watu hivyo wameiomba tume ya taifa ya uchaguzi jimbo la Tanga kurekebisha kasoro hizo mapema kabla ya siku ya mwisho ya uandikishaji haijawadia ili waweze kutumia haki yao ya msingi ya kujiandikisha ili waweze kuchagua viongozi wanaowataka.    Mwandishi ametembelea katika

Mauzauza: Fisi wanaswa na shanga na Rozari kiunoni baada ya msako mkali wa wananchi huko Kwimba Jijini Mwanza.

Image
MSAKO wa Fisi waliovamia makazi ya Vitongoji vitatu vya Kijiji cha Hungumalwa Kata ya Hungumarwa wilayani Kwimba mkoani Mwanza, umezua maajabu. Maajabu hayo yamehusishwa na imani za kishirikina, baada ya fisi wawili kati ya 12 waliouawa, kukutwa wamevalishwa shanga na Rozali, kiunoni. Msako Mkali Msako huo wasiku tatu ulioanza juzi (Jumapili) unahusisha mamia ya wananchi wa Kijiji hicho na vitongoji vyake vya Mwanzabalemi, Mwanega na Mwang’ombe, wanaotumia siraha za jadi na mbwa wapatao 50.  Habari za ndani kutoka Kijijini humo zimesema kwamba, kabla ya wananchi hao kuingia ‘vitani’ kusaka wanyama hao ambao baadhi wanadaiwa kumilikiwa na watu wachache wanaojihusisha na vitendo vya ushirikina, wazee wa Kijiji na Vitongoji hivyo, walifanya mazindiko (kinga) ya kujikinga na nguvu za washirikina ambazo zinge kwamisha zoezi hilo. Wazee wanena Kwa mujibu wa baadhi ya wazee wa kijiji hicho ambao hawakutaka majina yao yaandikwe, walisema kuwa makamanda wa

WB pledges $1.2 B to improve EAC infrastructure and competitiveness

Image
Kenyan Deputy President William Ruto [second right], Vice President of Tanzania Mohamed Bilal [second left], Rwandan Prime Minister Anastase Murekezi [first right] and Burundian first Vice President Prosper Bazombaza display copies of the communique they signed during the 3rd East African Community (EAC) heads of state retreat on infrastructure development and financing in Nairobi. The five Member States of the EAC on Saturday endorsed a ten-year infrastructure development plan that will require 100 billion U.S. dollars to implement. XINHUA PHOTO - FRED MUTUNE The World Bank said today that it will provide $1.2 billion to support infrastructure development and improve the competitiveness of the East African Community (EAC) states. In addition, through IFC and MIGA, the World Bank Group will provide additional resources for regional infrastructure through market-driven private sector financing and guarantees. The financing will contribute to the EAC states’ plann

Picha: Pinda, Mbowe, Lukuvi, Wassira, Mwandosya ...ndivyo siasa ilivyo

Image
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene Mawaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya (kulia) na Stephen Wasira (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bugeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya (kulia) akizungumza na Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mjini Dodoma Novemba 29, 2014.  Picha zote: Ofisi ya Waziri Mkuu

Taarifa ya punguzo la 40% ya matibabu kwa Watanzania

Image
Konseli Mkuu, Bw. Omar Mjenga wa Konseli Kuu ya Dubai kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Irani iliyopo Dubai (Iranian Hospital Dubai), wakiweka saini makubaliano ya pamoja ambayo yatatoa punguzo la asilimia 40 ya matibabu kwa Mtanzania yeyote yule atakayetibiwa katika hospitali hiyo. Makubaliano hayo yamewekwa saini katika hospitali ya Irani iliyopo Dubai, maeneo ya Jumeirah. Konseli Mkuu Omar Mjenga wa Tanzania, Dubai pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Irani, Dubai wakionyesha makubaliano mara baada ya kumaliza kutiliana saini.

Tangazo la msiba wa Kepteni Kaluse aliyefariki katika ajali ya helkopta Dar

Image
Mrakibu wa Polisi-Captain Kidai Senzala Kaluse enzi za uhai wake.   Familia ya Mzee Senzala Kaluse wa Kimara Mwisho Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao KIDAI SENZALA KALUSE kilichotokea Novemba 29, 2014 Saa 4 asubuhi kwa ajali ya ndege aina ya helkopta huko Kipunguni B, Moshi Bar, Dar es Salaam. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa baba yake Mzee Kaluse huko Kimara Mwisho. helikopta yaanguka dar  Habari ziwafikie, Ukoo wote wa Warutu, Ukoo wa Kaluse, Ukoo wa Mroki, Familia yote ya Timothy Nathan, Ukoo wa Kajiru na Taluka, Wakamba wote wa Ugweno Msangeni, Bibi wa Marehemu Mary Nathan wa Kinyenze- Morogoro, Familia ya Tarimo ya Ukonga Mombasa, Omary Msuya wa Moshi, Abdalh Mgonja wa Gonja Maore, Hosea wa Arusha. Taarifa pia ziwafike maofisa wa Jeshi la Polisi Tanzania, Askari wa Kikosi cha Polisi Anga, Ndugu, Jamaa na Marafiki popote pale walipo. Misa ya kuaga Mwili wa Marehemu itafanyika mnyumbani kwao kuanzia Saa 6:00 kabla ya safari ya

Mtekaji na Muuaji wa Watoto Ifakara Akamatwa na Polisi, Wananchi Wachoma Nyumba Yake

Image
Polisi hapa mjini Ifakara wamepata wakati mgumu kumwokoa bwana mmoja aliyefahamika kwa jina la Nurdin Mangula, baada RAIA wenye hasira Kali kutaka kumuua wakimtuhumu kuiba watoto na kuwaua kisha kuchukua baadhi ya viungo na kuviuza kwa baadhi ya wafanyabiashara. Jamaa huyo ambaye mke wake ni hakimu wa mahakama ya mwanzo aliokolewa na polisi waliotumia nguvu kubwa kumnusuru asiuawe na RAIA wenye hasira Kali. Tukio hilo lililotokea jana saa 10 jioni, lilivuta watu wengi na kuifanya polisi kutumia mabomu ya machozi na risasi za moto kuwatawanya watu hao.  Wiki mbili zilizopita kuna watoto wawili walipotea katika mazingira ya kutatanisha na mmoja kupatikana akiwa tayari ameshakufa na baadhi ya viungo akielwa hana.  Mtuhumiwa huyo ambaye ana undugu na makamu mwenyekiti wa CCM Philip Mangula amekutwa na watoto watatu kwenye gari aina ya Noah na mmoja akiwa tayari amekufa. Pamoj na kuokolewa na polisi watu wamefanikiwa kuichoma moto nyumba yake na magari mawili. kuchukua kil

DIAMOND PLATINUMZ ASHINDA TUZO TATU [3] ZA #CHOAMVA14 HUKO AFRIKA KUSINI, WEMA FURAHA YAKE YAINGIA SHUBIRI

Image
Msanii Diamond wa Tanzania amejishindia tuzo TATU  The 2014 Channel O African Music Awards belonged to Cassper Nyovest and Diamond Platinumz tonight. They were both the biggest winners scooping three awards each. Cassper walked away with Most Gifted Male, Most Gifted Southern and the big one, the Most Gifted Video of the year. Diamond Platinumz on the other hand walked way with the Most Gifted Newcomer, Most Gifted Afro Pop and Most Gifted East. Take a look at the full list of this years winners here: Most Gifted Male Cassper Nyovest – Doc Shebeleza Most Gifted Female Tiwa Savage ft Don Jazzy – Eminado Most Gifted Newcomer Diamond – Number One Most Gifted Duo, Group or featuring Kcee ft Wizkid – Pull Over Most Gifted Dance Busiswa ft Various – Ngoku Most Gifted Ragga Dancehall Buffalo Souljah – Turn Up Most Gifted Afro Pop Diamond – Number One Most Gifted Kwaito Uhuru ft Oskido & Professor – Y-tjukutja Most Gi