EXCLUSIVE - PICHA MPYA ZENYE UTATA ZA DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI THE BOSS LADY WAKIWA NDANI YA JIJI LA DAR.


Diamond Platnumz na Zari the boss lady kwa mara ya kwanza walikutana kwenye ndege wakati wakitokea South Africa kuja Tanzania na kupiga picha za kawaida za pamoja ambazo walizi-post kwenye mtandao wa instagram. SASA LEO TEAMTZ.COM 

IMEFANIKIWA KUPATA EXCLUSIVE PICTURES ZA WAWILI HAO WAKIWA KATIKA MAPOZI YENYE UTATA KATIKA MOJA YA HOTEL ILIYOPO NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM.





Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini