PASTOR MAARUFU AFIA CHUMBANI KWA MUUMINI WAKE MUUMIN ADAI ALIKUWA ANAFANYA MAOMBI CHEK VIDEO HAPA

Mwili wa mchungaji ukiwa unatolewa kweye chumba alichofia.
Mama huyu ambae amesema ana umri wa miaka 40, amewaambia Polisi kwamba Marehemu alizirai wakati wakiwa kwenye maombi na kwamba hawakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi japo majirani wanasema wawili hawa walikua wapenzi.
Ni moja ya taarifa ambazo nimezisikia sana kwa wiki hii hapa Nairobi inayosema kuhusu Mchungaji mmoja maarufu kwenye mji huu kwa jina la Geofrey Maingi wa kanisa la Redeemed Gospel alikutwa amefariki kwenye chumba cha kulala cha mama ambae ni muumini wake huko Buruburu.
Vyombo mbalimbali vya Kenya vimeripoti kwamba kwamba marehemu aliekua na umri wa miaka 70, alikua amekwenda nyumbani kwa mama ambae ni muumini wake kwa lengo la kumfanyia maombi lakini akafariki wakati maombi yakiendele

Mwili wa mchungaji ukiwa unatolewa kweye chumba alichofia.
Mama huyu ambae amesema ana umri wa miaka 40, amewaambia Polisi kwamba Marehemu alizirai wakati wakiwa kwenye maombi na kwamba hawakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi japo majirani wanasema wawili hawa walikua wapenzi.

Baadhi ya mashuhuda wanasema Mchungaji huyu amekua na kawaida ya kwenda kwenye nyumba ya huyu mama kila weekend, na mara nyingi amekua akienda Jumamosi na kuondoka Jumatatu.
Mke wa Marehemu alizimia baada ya kupata taarifa za kifo cha mume wake ambacho kimetokea wiki mbili baada ya mchungaji mwingine wa Embu kufumaniwa na mke wa mtu.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini