HELIKOPTA YA MCHINGAJI GWAJIMA YAZINDULIWA RASMI. TAZAMA HAPA

                                           Helikopta ya Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na
Uzima , Josephat Gwajima imezinduliwa leo hii
katika viwanja vya Tanganyika Packers ,

vilivyopo Kawe jijini Dar na kuhudhuriwa na
maaskofu wa makanisa mbalimbali wa
madhehebu ya Kikristo nchini .

Uzinduzi huo pia uliohudhuriwa na Mbuge wa
Monduli, Edward Lowassa ambaye alikuwa
ndiye mgeni rasmi wa uzinduzi huo
ulioendana na kukata utepe kisha kuirusha
helikopta hiyo hewani kama ishara ya kuanza
rasmi kazi yake ambayo ni kutoa msaada wa
usafiri wa haraka wakati wa dharura na
kuhubiri injili kupitia helikopta hiyo .


Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini