MAHABA NIUE:KADINDA AMUANIKA MPENZI

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda ameamua kumuweka wazi mpenzi wake ambaye siku za nyuma alikuwa na mpango wa kufunga naye ndoa mapema mwaka huu lakini kukatokea tofauti kidogo wakahairisha zoezi hilo.
Mwanamitindi maarufu Bongo, Martin Kadinda akiwa na mpenzi wake.
Akizunguza na mwandishi wa habari hivi karibuni, Kadinda aliweka wazi kuwa huyo ndio mke wake mtarajiwa na Mungu akipenda

watafunga naye ndoa mwakani. “ Ni kweli ni mpenzi wangu nampenda sana na Mungu akipenda ndiye mke wangu ambaye nitafunga naye ndoa mapema tu mwakani na Mungu atusimamie katika hilo,” alisema Kadinda.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini