WACHAPWA BAKORA ZISIZO NA IDADI BAADA YA KUKUTWA WAKIFANYA MAPENZI ENEO LA WAZI, ANGALIA VIDEO HII

Vijana wawili mvulana na msichana nchini Nigeria wameshikishwa
adabu ya kuchapwa viboko, baada ya kukutwa wakifanya mapenzi
mchana kweupe kwenye eneo moja la wazi
Taarifa zinasema wamepatiwa adhabu hiyo ili iwe fundisho kwa
wengine wenye tabia kama hiyo
Hata hivyo adhabu hiyo haikubagua hata mmoja, kwani wote
wamecharazwa bakora makalioni bila kujali msichana wala
mvulana na fimbo iliyokuwa ikitumika ni kubwa kupita kiasi
Angalia video ya tukio hilo hapa chini

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini