NESI WA EBOLA APONA NA AKUTANA NA KUMPA HAGI RAIS OBAMA KABLA YA KURUDI NYUMBANI

Mmoja wa manesi waliopata Ebola wakati akimuuguza mgonjwa wa Ebola Thomas Eric Duncan aliyepata wakati akitokea Liberia. Nesi Nina Pham leo Ijumaa Oct 24, 2014 ameruhusiwa kutoka hospitali NIH alipokua amelazwa baada ya kupona virusi vya Ebola. Nesi Nina baadae yeye na familia yake walipitia Ikulu kukutana na Rais Barack Obama kabla ya kuondoka na kuelekea Texas kwenda kuungana na ndugu, jamaa na marafiki.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini