Baadhi ya Matukio ya Kukumbukwa kwa Mwaka 2015

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais wa Uganda, Paul Kagame baada ya kumaliza muda wake.Mama Salma Kikwete (katikati) akisalimiana na mumewe, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuachia kijiti cha uraisiJeshi la ulinzi la Tanzania lilivyopendeza siku ya kuapishwa kwa Rais Magufuli Novemba 5, 2015.Tukio la maji kujaa katika daraja la Jangwani kipindi cha mvua mwezi Februari 2015.




Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli alivyoapishwa.Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk.Kikwete akiwapungia mkono wa kwaheri baadhi ya wakazi waliojitokeza kwenye hafla ya kuapishwa rais mpya .Baadhi ya wafanyakazi wa makampuni waliojitokeza kufanya usafi Desemba 9,2015.Zoezi la uchukuaji vidole (BVR) lilivyoonekana.Baadhi ya wananchi wa Jiji la Dar walivyoonekana kujipanga mstari kwa ajili ya kujiandikisha kupata vitambulisho vya kupigia kura.Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa pili kushoto) akimkabidhi fomu ya kugombea urais Mhe.Lowasa.Baadhi ya mabasi yalivyoonekana katika stendi kuu ya mabasi Ubungo baada ya kugoma.

Mwaka wa 2015 umepita na huu ni 2016. Lakini ni ukweli ulio wazi kwamba 2015 umetuacha na kumbukumbu ya matukio mbalimbali ambayo yaliitikisa nchi yetu.

Huenda yapo mengi lakini hapa chini nimekukusanyia yale ambayo yalikuwa ‘hot’ zaidi. Fuatilia…

NA DENIS MTIMA/GPL

ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini