HABARI PICHAZ: Daraja la Flyover Limeanza Kujengwa Makutano ya TAZARA Jijini Dar

Naam, ujenzi wa flyover pale TAZARA jijini Dar umeanza kama ilivyoahidiwa.  
Tutarajie kupata kitu imara toka kwa wajapani? 
Toa maoni yako hapo chini

ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini