ASKARI POLISI ATIWA MBARONI KWA TUHUMA ZA MAUAJI..SOMA ILIVYOKUWA



Jeshi la polisi mkoani mwanza limemshikilia askari no.F.4965 PC JOEL FRANCIS Kwa tuhuma za kumpiga na kumsababishia kifo kijana Donard Magalata aliyekuwa akiishinaye nyumbani kwake


Askali huyo alimpiga kijana donald mara baada ya kubaini kuwa pochi yake iliyokuwa na kadi mbili za benk na kitambulisho cha kazi havipo.

ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini