NOMA SANA: AGNESS MASOGANGE AWATUSI MATUSI MAKUBWA WABAYA WAKE MTANDAONI...JIONEE MWENYEWE HAPA!

Kama mnavyojua AGNES MASOGANGE kwasasa yupo BONGO na Yule jamaa yake yupo SAUZI..sasa kutokana na taarifa za kile ambacho MASOGANGE anakifanya hapa mjini kumfikia jamaa yake huko SAUZI kupitia jamaa ambao wanampa ripoti zote kutoka hapa BONGO na hivyo kupelekea kuhatarisha penzi la MASOGANGE na huyo jamaa…
MASOGANGE AMEAMUA KUFUNGUKA Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM aliweka picha hiyo na kuandika kama unavyoona hapa!!!

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini