BREAKING NEWS: HELIKOPTA YAANGUKA GONGO LA MBOTO JIJINI DAR N KUUA ABIRIA WA NNE NA RUBANI MMOJA








Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya Helikopta kuanguka.
Helikopta imeanguka leo eneo la Gongo la Mboto, Moshi Bar jijini Dar, kuna watu wanadaiwa kufariki dunia lakini polisi hawajatoa taarifa rasmi juu ya tukio hili.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini