HUYU NDIO MSANII ANAYEMILIKI GARI HII YENYE RANGI YA DHAHABU, NA HAYA NDIO MAGARI YAKE MENGINE YA BEI MBAYA

Anaitwa Kcee  ni staa wa mziki kutoka Nigeria, inaaminika kua msanii huyu ni kati ya wasanii wachache sana wenye mkwanja mrefu kutoka Nigeria. Ndio msanii pekee kutoka Afrika ambae ameweza fanya kolabo na Nicki Minaj. Mpya kutoka kwa jamaa huyu ni gari yake mpya aliyonunua aina ya Cadillac Escalade ikiwa na rangi ya Dhahabu.
Hizi ni baadhi ya picha za gari na magari anayomiliki huku yote yakiwa ni ya gharama.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini