Laana Hii !!!!!!!!!! Baba Ampa Mimba Mwanae Wa Miaka 12

True story, ni mama mmoja mwenye makazi yake jijini. Mama huyu aliweza kuachana na mume wake wakiwa wamebahatika kupata watoto wawili. Mara baada ya kutengana na mumewe mume wake alikatalia watoto na akawa anaishi nao lakini ni jambo la kusikitisha huyu baba alikuwa anamshikia panga mtoto wake wa kike na kumlazimisha kufanya naye mapenzi, ni mtoto mwenye umri wa miaka 12 la hashaa mtoto yule mtoto akapata ujauzito wa baba yake mzazi na ndipo mama wa mtoto anashindwa mpaka leo afanye nini maana kesi ipo mahakamani na binti huyo amejifungua mtoto wa kike swali langu kubwa huyu mtoto atamwita nani huyu baba?”

Kimtazamo, wazazi wengi wamekuwa mbali sana na watoto wao kiasi kwamba mtoto anakosa ujasiri hata wa kusema anapokuwa na tatizo. Hana wa kuzungumza naye kwa sababu ya uoga. Ni vizuri mtoto akajengewa mazingira angalau hata kwa kupewa elimu ya kujua ashitaki wapi akiwa na tatizo, ikibidi hata kwa walimu mashuleni.
Tunaweza Kuondoa aina Zote za Ukatili Dhidi ya Wanawake.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini