SHEIKH PONDA ASHINDA KESI YA MADAI



MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam Novemba 27, 2014 imemuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda baada ya kuona hana hatia dhidi ya kesi ya madai ya Ardhi ya Agrekanza inayomilikiwa na Afidhi Self iliyokuwa inamkabili.(P.T)

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini