[picha] Wananchi wanavyofuatilia mjadala wa 'escrow' Bungeni


Wakazi wa jiji la Mbeya wakifuatilia michango ya wabunge kuhusu sakata
 la Escrow mjini Dodoma jana. picha: Christopher Nyenyembe, Mbeya


Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman 
Mbowe akichangia mjadala wa sakata la Escrow mjini Dodoma juzi.


Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka akichangia
 mjadala wa sakata la Escrow mjini Dodoma jana.


Kangi Alphaxard Lugola, mbunge wa Mwibara, Mara.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini