Pamoja Na Ufisadi Wake Wote, Chenge is One of Best Brains Kwenye Bunge Full of Ignorants!.

Wanabodi, 

Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali, kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda maneno makali kama haya, yatasaidia, to change for the better!.

We are ignorants, na wabunge wetu ni ignorants!.

Mnyonge Mnyongeni, haki yake mpeni, Mhe, Andrew Change, ni one of the best legal draftsmen we have kwenye Bunge letu, ila kufuati wengi wa wabunge wetu ni ignorants, wazo alilopendekeza jana, kuhusu drafting ya azimio la bunge, kumepelekea kikao muhimu sana cha bunge kuvunjika kwa ujinga tuu wa wabunge wetu!.

Naomba kukiri wazi, wazo la kuandika thread hii, limekuwa inspired na post ya Nguruvi3  .

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini