Bifu kubwa kati ya Diamond na mbunifu mitindo wa Kimataifa toka Marekani...

 
Mbunifu wa mavazi toka Marekani anaeitwa Roper amelalamika sana kupitia Instagram kwamba Diamond kamuibia design yake... roper anayewavalisha wasanii wakubwa Marekani kama August Alsina, Future, Meek Mill nk ameandika hivi......


" I usually don't blast people who make or wear fakes of my designs but this person went way to far when they used my logo! diamondplatnumz is wearing fake Roperrope shirt made by a person with bad character and a strong lack or originality! This is not ok! If you steal a design please reframe from using the Designers Logo because it's illegalwww.shoproperrope.com''.


Mimi namshauri Diamond na wasanii wengine wa kitanzania kuwa makini na kila kitu wanachofanya haswa kuhusu product wanazotumia coz muziki wa Tanzania sasa unapaa mpaka mbali tofauti na wana vyofikiria...Hapa kuna ishu za copyright, maana kosa alilofanya ni kupost na kutoa credit kwa Desgner wake Qboymsafi pengine bila kujua stylist wake ambae kiukweli bado ajafikia level za kuitwa dizaina (bongo dizaina hakuna bado) alikopi na kupesti dizaini ya mtu mwingine. Inaweza kuwa hana kosa lakini kikinuka yeye ndio atakuwa responsible.

Niliona Adam Mchomvu amekuja na dizain yake ya mavazi aniita Adamz Apple, kiukweli ukiangalia ile dizaini ni copy and paste sasa na huu utandawazi usishangae tukafirisiwa watu huku.

Tuwe makini sana..Na Diamond kama akiweza kukuafford uyu mchizi aongee nae biashara jamaa amtengenezee kazi zake aigeuze hii ni opportunity.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini