Makabila ya Pwani Wanawezana Wenyewe Ndoa zao, ni Shidaaa!

Watu wa Pwani wanawezana wenyewe kwa wenyewe ndoa zao,mtu wa bara utachemka tu.Ukanda wa pwani kuanzia Tanga, Pwani, Dar, Lindi, Mtwara, Ruvuma na hata Morogoro pia ni walewale tu tabia, mila na desturi zao.

Vigodoro kwa sana, kushinda ngomani, shule kwao ni kama adhabu, vitabia vya ajabuajabu tu,ni shida...Yaani imefikia hata maendeleo katika Sehemu zao yapo duni sana ..Kama ukiangalia Bagamoyo kwa sasa Wahamiaji ndio wanaoleta maendeleo kwa kununua mashamba na viwanja vya wazaramo na kuwaacha wenyeji hawana kitu ..

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini