Zari Ajitetea 'Mimi Sio Msagaji ilitokea tu Nikakisi na Msichana Mwenzangu kwa katika Hali ya Furaha'

Super star kiwango anayetikisa East Africa kwa sasa , zarinah hassan aka bossy lady, amefunguka kuhusu scandal ya usagaji iliyomtafuna miezi michache iliyopita, akizungumza kupitia kipindi cha sporah show, mrembo huyo mwenye mvuto wa aina yake alifunguka kuhusu kashfa hyo, ambapo picha yake akiwa kwenye mahaba na mrembo mwenzie zilisambazwa mitandaoni na kuzua gumzo kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii

Mwenyewe alijitetea kuwa walikuwa kwenye starehe zao yeye pamoja rafiki zake, ambapo kila mtu alikuwa na mpenzi wake, so ilitokea tu wakajikuta wamekisi na rafiki yake huyo wa kike katika hali ya furaha kama marafiki wengine tu, na hakufikiria kuwa lile tukio lingekuwa ishu sana kwenye mitandao. aliendelea kutiririka kuwa yeye sio msagaji na anapenda wanaume kama wasichana wengine

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini