20 PICHAZ: Taswira ya Jiji la Dar Leo Alhamisi Siku Nne Baada ya Uchaguzi Mkuu!


Tukiwa bado kwenye headlines za Uchaguzi Mkuu 2015 huku wananchi wakiwa wanasubiri matokeo ya Rais atakayetangazwa na tume ya Uchaguzi atakayeongozwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bendera za vyama vya siasa bado zimetawala katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka maeneo mbalimbali.


















Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini