Hakuna Rais wa Nchi za Afrika Mashariki Aliyempongeza DK MAGUFULI...Hii Inaleta Picha Gani?!

Nimekuwa nikitembelea wall page za mitandao ya kijamii hasa Facebook na tweeter za Marais wa nchi za umoja wa Afrika mashariki, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi.

Katika wall page zao ambazo zinaonekana kuna post walizopost masaa machache hata baada ya Magufuli kutangazwa mshindi lakini nakuta taarifa zingine ambazo haziusiani na uchaguzi zaidi ya mambo yao kiuchumi.
Hii inaleta picha gani maana najiuliza kwamba inawezakuwa hawajui kinachoendelea Tz nchi ambayo ni moja ya jirani zake.

Embu jaribuni kuangalia katika wall zao uone walivyokuwa busy na masuala yao.
Ila ni Odinga pekee ambaye alikuwa makamu wa kenya kipindi cha Kibaki ni ndie aliyempongeza Magufuli.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini