BREAKING NEWS: NEC YAFUTA UCHAGUZI NGAZI YA UBUNGE MBAGALA

Mgombea ubunge Jimbo la Mbagala kwa
tiketi ya CUF, Kondo Bungo
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imefuta
Uchaguzi wa ngazi ya Ubunge jimbo la
Mbagala, Dar es Salaam.
Taarifa zaidi juu ya sababu za kufutwa
kwa Uchaguzi huo zitafuata hapo
baadaye.
Endelea kufuatilia hapa
kandiliyetu.com kwa updates zote
muhimu za uchaguzi mkuu na matukio
mbalimbali kama bado hauja-like page
yetu ya facebook bonyeza hapa

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini