ZEC Watangaza Matokeo Ya Majimbo Mengine Manne Muda Huu

Tume ya Taifa ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza matokeo ya ubunge pamoja na baraza la wawakilishi katika Majimbo manne, jimbo la Mtambile , Ngogoni, Mtambwe, Gando. 
Washindi wa ubunge katika na majimbo yao na idadi ya kura ni hawa wafuatao:
MTAMBILE ni Masoud Abdallah Salim (CUF) Idadi ya kura 5,106

MTAMBWE ni Khalifa Mohamed Issa (CUF) Idadi ya kura 5,663

GANDO ni Othman Haji Omary (CUF) idadi ya kura 6, 111

NGOGONI ni Suleiman Ally Yusuf (CUF) Idadi ya kura 5,660

Nafasi ya baraza la uwakilishi kutoka MTAMBILE Mshindi ni Abdalla Bakari Hassan kwa kura 5383 

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini