Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania Pamoja na Ireland Kaskazini Wapinga Uchaguzi Mkuu Kufutwa Zanzibar
Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania
pamoja na Ireland Kaskazini umetoa
taarifa ukipinga kufutiliwa mbali kwa
matokeo ya Uchaguzi kisiwani
Zanzibar.
Ubalozi huo umesema kuwa hauoni
sababu za kufutiliwa mbali kwa
matokeo hayo ilhali waangalizi w
Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania
pamoja na Ireland Kaskazini umetoa
taarifa ukipinga kufutiliwa mbali kwa
matokeo ya Uchaguzi kisiwani
Zanzibar.
Ubalozi huo umesema kuwa hauoni
sababu za kufutiliwa mbali kwa
matokeo hayo ilhali waangalizi
walifurahishwa na vile uchaguzi huo
ulivyofanyika kwa amani.
Wameitaka tume ya uchaguzi Kiswani
Zanzibar kuorodhesha matokeo hayo
bila kuchelewa.
Tamko hilo nimekuwekea hapa
PRESS STATEMENT
Thursday 29 October, 2015
United Kingdom statement on Zanzibar
elections
The United Kingdom of Great Britain
and Northern Ireland is deeply
concerned by the announcement of the
Chairman of the Zanzibar Electoral
Commission to nullify the elections. We
note that all the international observers
were impressed by the quality of the
electoral process they witnessed. We call
on ZEC to resume the results tabulation
process without delay.
We congratulate the people of United
Republic of Tanzania on the peaceful
and enthusiastic way in which they
participated in their elections.We call
on all political actors to seek a solution
which respects the will of the Zanzibari
people as expressed in the polls on 25
October.
The United Republic of Tanzania has a
well deserved reputation for peace and
stability and respecting democratic
principles. We urge all Zanzibaris to
maintain peace and we commend the
restraint they have shown so
far.alifurahishwa na vile uchaguzi huo
ulivyofanyika kwa amani.
Wameitaka tume ya uchaguzi Kiswani
Zanzibar kuorodhesha matokeo hayo
bila kuchelewa.