Wanasayansi Watengeneza Dawa Kutumia Ndizi Zinazoweza Kuua Virusi vya HIV, Hepatitis na Mafua!

Wanasayansi wametengeneza dawa
kutumia ndizi zinazoweza kuua virusi
vya aina mbalimbali vikiwemo vya HIV,
Hepatitis na mafua.
Inatumainiwa kuwa dawa hivyo mpya
inaweza kuwa na muhimu katika
kupambana na virusi vingi hatari.
Dawa hiyo iligundulika miaka mitano
iliyopita na kuaminika kuwa tiba ya
virusi vya HIV lakini ilisababisha
madhara ambayo wanasayansi sasa
wamekabiliana nayo.
Dawa hiyo iliyopewa jina la BanLec
inayoweza kupambana na virusi
kwenye panya lakini haileti madhara.
Watafiti wanaamini kuwa dawa hiyo
inaweza pia kuponya Ebola.
Hata hivyo walionya kuwa ulaji wa
ndizi wa kawaida hauwezi kuwa na
matokeo yale yale.
Soma zaidi habari hii hapa.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini