Mgombea Mwenza wa CHADEMA Juma Duni Haji Akatazwa Kuingia katika Chumba cha Kutangazia Matokeo ya Urais

Mgombea mwenza wa CHADEMA Juma
Duni Haji amezuiwa kuingia katika
chumba cha kutangazia matokeo ya
urais katika ukumbi wa Julius Nyerere
wakati zoezi hilo likiendelea baada ya
kueleza kuwa ameleta hati ya pingamizi
ya matokeo.
Hata hivyo walinzi wa eneo la
kutangazia matokeo walimkatalia
kuingia katika chumba hicho na
kumtaka aende Makao Makuu ya Tume
ya Taifa ya Uchguzi (NEC) kuwasilisha
hati yake hiyo na kisha kusindikizwa
kwenye gari alilokuja nalo lenye namba
T754 DDY aina ya Toyota.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini