Rais Kikwete "kukabidhi nchi" Novemba 5

Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa Tarehe 5 Mwezi November 2015 atakuwa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Rais ameyasema hayo alipokuwa akipiga kura katika jimbo la Chalinze-Msoga ambapo aliambatana na mkewe Mama Salma Kikwete 

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini