LOWASSA Afunguka Kuhusu Taarifa Zinazosambaa Kuwa Amekubali Kushindwa Uchaguzi wa Rais na Kustaafu Siasa!

Edward Lowassa
Kupitia Ukurasa wa Facebook unaitwa
Chadema Pameandikwa Taarifa kuwa
Edward Lowassa Amekubali kushindwa
Urais na Ameamua Kupumzika Siasa...
Edward Lowassa Mwenyewe Ameibuka
kupitia Ukurasa wake Halali wa
Facebook na kukanusha juu ya habari
hiyo na kusema ni za uzushi
Ameandika Haya hapa:
"Taarifa zinazosambazwa kwenye
mitandao kwamba nimekubali
kushindwa katika Uchaguzi wa Rais ni
za uwongo, Ninaomba zipuuzwe"
Lowassa

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini